ads

Breaking News

Hiki ndicho alichojibu Davido kuhusu beef yake na Wiz Kid.







davido

Kwenye
internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wasanii wa Nigeria Wiz Kid na Davido
kuwa na beef ambayo ilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye
social media zikionyesha kama kila mtu anajaribu kumpiga kijembe
mwenzake japokuwa hakuna aliyewahi kumtaja mwenzake moja kwa moja.


Davido akiwa kwenye tour zake anazofanya Marekani amekutana na Sahara
TV ambao wamemuuliza kuhusu hilo beeef kati yao na kujibu hivi
>>>  ‘sio beef, niko nae poa na ni shabiki wake… na nilikua nae
kwenye ndege moja wakati nakuja Marekani’


Maneno yake mengine unaweza kuyatazama hapa chini kwenye hii video.



No comments