ads

Breaking News

MTV VMA 2014: Jay Z na Blue Ivy walipopanda jukwaani kumkabidhi Beyonce tuzo na ‘kiss’ (picha)Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda

Beyonce, Jay Z na binti yao Blue Ivy au waite The Carters, Jumapili (Agosti 24) kwenye tuzo za MTV VMA wameendelea kuthibitisha kuwa ni ‘happy family’ licha ya ripoti mbalimbali ambazo zimeendelea kutolewa kuhusu matatizo ya ndoa yao.
Bey VMA

Jay, Bey

Beyonce alishinda tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ kwenye tuzo za MTV VMA 2014.

bey4
Lakini kubwa zaidi ni pale ambapo familia yake Jay Z na binti yao Blue Ivy waliopanda jukwaani na kumkabidhi (mke/mama) tuzo hiyo, kisha baba na mama wakapeana busu jukwaani. Queen Bey aliipokea tuzo hiyo akitoa machozi.
Beyonce, Jay Z, Blue Ivy
Beyoncé, Blue Ivy, Jay-Z
Beyoncé

No comments