Kivazi cha Kim Kardashian kinachoonesha mwili wake katika
tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kilimtega
mwanamuzi Usher Raymond ambaye alishindwa kufanya siri.
Usher alishindwa kuficha ama kuangalia kwa kuibia baada ya Kim K
kumpita kwenye red carpet na akaamua kugeuka tena bila kujali paparazzi
waliokuwa mbele yake.
Picha: Kim Kardashian amtega Usher kwenye tuzo za MTV VMA, ashindwa kuficha
Reviewed by peacethepresident
on
August 25, 2014
Rating: 5
No comments