ads

Breaking News

Video: Diego Maradona ampiga kibao mwandishi wa habari


Mchezaji wa zamani wa Argentina aliyeacha historia kubwa
katika ulimwengu wa soka, Diego Maradona amempiga kibao mwandishi wa
habari mbele ya umati huku kamera zikichukua tukio zima.



Imeelezwa kuwa Maradona alichukizwa na kitendo cha mwandishi huyo kumtolea maneno machafu mkewe wa zamani.



Angalia video hapa:




No comments