Video ya kwanza ya Hussein Machozi toka afumaniwe na mke wa Mwanasiasa Kenya
Siku
zinahesabika toka zitoke stori zake Hussein Machozi kuhusu kufumaniwa
na mke wa Mwanasiasa maarufu huko Mombasa Kenya ambapo gazeti la Majira
Tanzania liliandika msanii huyu Mtanzania amepewa saa 24 kuondoka nchini
Kenya baada ya hilo tukio.
Ikiwa bado tunasubiri kusikia kutoka kwake, Hussein Machozi ambae bado yuko Kenya ameitumia millardayo.com hii
video yake mpya, ukishaitazama usiache kuandika comment yako hapa chini
kwa jinsi ulivyouona wimbo wenyewe na video alafu baadae jioni Hussein
atapita hapa kusoma ulichomwandikia mtu wangu
No comments