Kundi la Jambo Squad limeachia remix ya wimbo wao wa
‘Mamong’oo’ wakiwa wamewashirikisha wasanii 13 wa Arusha. Wimbo
umeandaliwa ndani ya Noiz Mekah na Producer DX.
Wimbo Mpya: Mamong'oo Remix- Jambo Squad Feat. Nick wa Pili, G-Nako, Nakaaya, Chindo na wengine wengi
Reviewed by peacethepresident
on
August 19, 2014
Rating: 5
No comments