ads

Breaking News

AY kuwasapraiz mashabiki October, hiki ni kidokezo cha Sapraiz hiyo

Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki amepanga kuwasapraiz mashabiki wake mwenzi ujio.

Mkali huyo ambaye hivi sasa anakinukisha na wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliourekodi California, Marekani akiwashirikisha Ms Trinity na Lamyia,
“Nitachomoa mashine mbili, videos. So ni surprise kwenu..yes! October, hapa niko kwenye mchakato wa kufanya video na baada ya video nauhakika tutaendelea kupeperusha bendera ya muziki wa Bongo au East Africa kwa ujumla.” Ameongeza.
Video zote zitafanyika Miami, Marekani mwezi ujao.

No comments