ads

Breaking News

Hii mpya ya Yamoto Band umeshaiona? kaonekana Rick Ross wa bongo na Kingwendu

Screen Shot 2014-09-03 at 1.43.34 AM
Kutoka TEMEKE Dar es salaam ninayofuraha kukutanisha na vijana ambao sauti zao ni maarufu sana kwenye Radio sasa hivi….. vijana wasiozidi miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay ambapo hii ni single ya 4 kutoka kwenye hii Yamoto band baada ya zile za Yamoto, birthday, nibemende na sasa ni niseme.

No comments