Jaffarai ajinunulia gari hii kama zawadi ya birthday (Picha)
Jaffarai na gari lake jipya
Diamond Platnumz amemnununua Wema Sepetu gari jipya kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa iliyokuwa jana. Lakini Jaffarai ambaye siku yake ya kuzaliwa ni leo, hana mtu wa kumnunulia zawadi ya aina hiyo na ndio maana ameamua kujipa mwenyewe.
“I thank you Lord for making it possible for me to buy myself this gift for my birthday. Nawashukuru pia supporters wote wa JaffaraisCarwash mmechangia kwa kiasi kikubwa sana. Mungu awabariki. Happy birthday 2 me,” ameandika kwenye Instagram rapper huyo mjasiriamali.
Mmhh! Inaonekana gari ni zawadi nzuri zaidi kwenye siku ya kuzaliwa!!
No comments