ads

Breaking News

Akon akanusha kutumbuiza kwenye ‘puto’ ili kujikinga na Ebola

par7983044Wiki hii Akon amejikuta akishutumiwa vikali na mashabiki wa muziki barani Afrika kwa kuamua kutumbuiza akiwa ndani ya puto huko Goma nchini DRC kwa kile kilichotafsiriwa na wengi kuwa alikuwa akijikinga na Ebola.

Hata hivyo Akon amekanusha madai hayo kwakuwa miaka minne iliyopita alitumbuiza kwa mtindo huo huko Australia na Dubai.
par7983054
Kupitia Twitter, Akon ameandika:
“This bubble has been apart of my show for years. Way before Ebola existed. Let’s try n stop Ebola before it spreads. It’s sad how the media spin everything so negatively. I would never intentionally isolate myself from my African people.”

par7983056

No comments