ads

Beyonce si mjamzito! Member wa zamani wa Destiny’s Child, Michelle Williams athibitisha



Description: beyonce-sand

 Baada ya Beyonce kupost picha mpya hivi karibuni ambayo imefanya watu wahisi labda anatoa taarifa kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili kwa njia hiyo, member wa zamani wa kundi lao la Destiny’s Child, Michelle Williams amethibitisha kuwa Queen Bey si mjamzito.


Kupitia kipindi cha ‘The View’, Michelle amesema:
Description: michelle
Michelle Williams
“You know, when she was pregnant, people said that she wasn’t pregnant. There’s just no truth to it… sorry! First of all, if you look at the picture, the baby bump is probably where her knees probably really are… Just stop it, stop it.’

No comments