Davido aigiza kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya ya Nollywood, tazama Trailer
Staa wa Nigeria, David Adeleke a.k.a Davido ameamua kukionesha kipaji chake kingine mbali na muziki kwa kuigiza kwenye filamu mpya ya Nollywood iitwayo ‘John Zerebe’ ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuigiza.
Filamu aliyoigiza Davido imetengenezwa kwa ushirikiano wa label yake ya HKN pamoja na Viral Entertainment.
Kuhusu filamu hiyo;
“The movie ‘John Zerebe’ tells the story of the son of a modest middle income Pentecostal pastors. John is a smart and daring young man, whose desires in life are a sharp contrast to the doctrines preached by his father from the pulpit every Sunday. John’s lust for wealth and material abundance forms the pivot upon which this drama unfolds.”
Tazama trailer
No comments