Video: Justin Bieber – I’ll Show You
Justin Bieber anazidi kuachia nyimbo mpya za album yake mpya ‘Purpose’ ambayo zimesalia wiki mbili itoke (Nov.13).
Mwimbaji huyo kutoka Canada ametoa wimbo uitwao I’ll Show You’ pamoja na video yake. Single hii imekuja siku chache baada ya kuachia ‘Sorry’ pamoja na remix ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’.
Hii ni baadhi ya mistari ya wimbo mpya aliouachia;
“My life is a movie and everyone’s watching / So let’s get to the good part,” he coos in a breathy tone. “It’s like they want me to be perfect, but they don’t even know that I’m hurting / This life’s not easy, I’m not made out of steel / Don’t forget that I’m human / Don’t forget that I’m real.”

No comments