Wale
waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya
vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine ya movie
hiyo.
Taarifa zinazotoka ni kwamba Beyonce naye atakuwa star wa movie hii pamoja na Will Smith japokuwa bado taarifa rasmi hazijatoka.
No comments