things still good 4 platnumz
haya diamond davido,
tiwa sawage ni wasanii wa afrika kama mi
casa(Mi
Casa is a house band based in Johannesburg), lola rae ,sarkodie(Ghanaian hip hop recording artis), ndani ya collabo moya ya multchoice inayodill na kampeni ya bara la africa ilikulifanya liwe na madadiliko na kutambulika zaidi
duniani.. msanii pekee kutoka afrika mashariki ni diamond(AFRICA RISING)
No comments