ads

Breaking News

ZAWADI DIAMOND ALIYOMPATIA MAMA YAKE JANA KWENYE BARTHDAY INA DHAMANI YA M 38


STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'.
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa birthday ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.
 
Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.

Muonekano wa gari hilo kwa nyuma.
 

No comments