ads

Breaking News

Ben Pol kuachia wimbo Mpya 'Twaendana' Jumatatu, watagawana mapato na producer


Ben Pol amepanga kuachia wimbo mpya Jumatatu ya wiki ijayo ambao ameufanya katika studio za Noiz Mekah, chini ya producer DX.
Akiongea  DX ameeleza kuwa wimbo huo utatoka maalum kwenye mtandao wa Mkito hivyo utakuwa ukinunuliwa online.


Kwa mujibu wa Ben Pol, yeye na DX walikubalina kuwa wimbo huo utakuwa wa kwao wote katika biashara hiyo kwa maana kwamba watagawana

No comments