Chris Brown akoswa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya Club.
Suge Knight
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kwamba
risasi hizo zilikuwa na lengo la kupiga Chris Brown japokuwa Chris
ameondoka akiwa salama kabisa.
Baada ya fujo hizo kutokea Chris Brown ali-tweet hivi
VMA Awards zinafanyika leo 24/8/2014 na Nicki Minaj anategemewa ku-perform wimbo wake wa Anaconda.
No comments