TAJIRI WA SAUDI ATIKISA LONDON NA RANGE ROVER YA DHAHABU YENYE PLATE NUMBER ‘666’
666’ inatambulika kwenye biblia kama
namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos
tou Thēriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo
zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range
Rover.
Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, Uingereza kuishangaa baada ya kuiona ikiwa na mtalii huyo akila mitaa ya London kwakuwa ni gari ya dhahabu!!
Gari hiyo ina thamani ya £150,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za Tanzania. Range Rover mpya na ya kawaida huuzwa kwa bei ya wala u £100,000.
No comments