Uliona walichokifanya Nay wa Mitego na Diamond Fiestani Mwanza? video yao ya dakika 4 iko hapa
Japokuwani show ya kwanza kufanyika kwenye msimu huu wa Serengeti Fiesta 2014,
inaonekana itakuwa miongoni mwa show zitakazovunja rekodi kwenye idadi
ya mahudhurio.
Show ilifanyika CCM Kirumba kwa amani huku ukaguzi ukifanywa mlangoni
na Polisi kwa kila aliekua akiingia ambapo miongoni mwa wakali
waliochukua nafasi kwenye stage ni Diamond Platnumz na Nay wa Mitego na
hit song yao ya ‘muziki gani’ ambayo unaweza kutazama
No comments