Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo
Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya
kukuza vipaji vya wasanii wachanga.
Blueamesema kuwa kama yeye alisaidiwa na watu mpaka akafikia
alipo sasa, yeye pia ana wajibu wa kufanya hivyo kwa watu wengine.
No comments