ads

Breaking News

Audio: Lil Kim amvaa tena Nicki Minaj kwa fujo, 'Queen is back'

Rapper Lil Kim, ameamua kurusha makombora tena kwa first lady wa Young Money, Nicki Minaj kupitia version yake ya remix ya wimbo wa Beyonce ‘Frawless’.
Lil Kim ambaye amejifungua hivi karibuni, amechukua wimbo huo wa Beyonce aliokuwa amemshirikisha Nicki Minaj na kuufanyia version yake binafsi akiijibu verse ya Nicki Minaj.
Nicki Minaj alisikika kwenye Flawless Remix akijigamba kuwa yeye ndiye malkia wa rap, mstari ambao umejibiwa moja kwa moja na Lil Kim akidai kuwa malkia halisi amerudi.
“Am I tripping or did this ho just say my name? Queen of rap? F**k outta here. Queen's back, f**k outta here. Time to get this wack b***h up outta here.” Amerap Lil Kim.


Inawezekana verse ya Nicki Minaj ilimchoma sana Lil Kim na ndio sababu aliamua kujibu hivyo kwa kuwa Nicki anasema Beyonce alimwambia afanye verse yake kama yeye bila kubanwa na asiwe na huruma.
“She sent me a version that she wanted. She told me, 'I want you to be you. I don't want you to hold back.' I said, 'You sure?' She said, 'Yeah. I want you to be you and do you.”

No comments