ads

Breaking News

Yametimia kati ya Tyga na mpenzi wake aliyemtoa club ya wanaocheza watupu

Rapper wa Young Money, Tyga na mrembo Blac Chyna aliyekuwa stripper wamepigana chini ikiwa ni miaka mitatu tangu walipoanza safari ya penzi lao.
Kwa mujibu wa TMZ, Tyga ameachana na msichana huyo ambaye wamezaa nae mtoto wa kiume lakini bado kuna utata kuwa mrembo huyo amegoma kutoa vitu vyake katika nyumba ya Tyga.
Tyga alikosolewa sana na kutabiriwa mwisho mbaya baada ya kuamua kumchukua Blac Chyna katika club maarufu ya wasichana wanaocheza wakiwa watupu.
Wawili hao walikutana mwaka 2011 katika party ya Chris Brown na kutengeneza couple ambayo ilikuwa maarufu.


No comments