Najua
kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita
sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha ya zamani
ya Ommy Dimpoz aliyoipiga Kigoma ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya
kijamii bila ya idhini yake.
Ommy Dimpoz ni mmoja wa wakali watakaopanda kwenye stage ya Fiesta
Jumamosi hii Leaders Dar es salaam, unajua ni nini alichokisema baada ya
kukutana na
video::Umepata alichokisema Ommy Dimpoz kuhusu ile picha yake iliyosambaa?
Reviewed by peacethepresident
on
October 15, 2014
Rating: 5
No comments